Arsenal wanatesa kitaa?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,748
Baada kutwaa ubingwa jana mashabiki wa arsenal wamefurahi sana.Yan n part to party maana sio mchezo 22 yrs bila mafanikio.

yan kipind cha mwisho walishinda Epl nlikuwa na miaka 6 na saiv 28. yaan wanasema hii wik hawavui jezi wakisubiria jumamosi fainali na psg na wakishinda watatembea vifua wazi. ila ss manchesta wacha tule miayo maana vikombe vimejaa kabatini.nyie asenal anavihesabu maana havihesabiki.
 
Msipowaona jukwaan leo wapo wanasherekea maan hawakutarajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…