Hii game itaamuliwa sana na approach ya Mou hasa anapocheza game away. Kwa kuangalia squad naweza kusema United atashinda ila napata kigugumizi ukija kwenye approach ya Mou.
Arsenal ilikuwa inasumbuliwa na Man U ya Sir Alex Ferguson..ila tangu aondoke man u kumfunga Arsenal ifanyekaz kwerkwer.na chengine uhasama wa wenger na mourinho..babu wenger hatokubali kejel za mourinho.tutegemee mechi suluhu.au man u wanyooshwe na giroud maana ndio mbaya wao huyo.