Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,284
- 9,336
munifundishege na mie kingledhaThat man must be crazy
Gweeeemunifundishege na mie kingledha
munifundishege na mie kingledha
Mkuu kujifunza hilo jina la shule tu itanichukua mwezi je kozi yenyewe? ile kanuni yake bado anayo?Njoo tujiunge wote Rasi Simba Internationa School of English Academy and British Cultural affairs, sophisticated methods of pronunciation and marketing confidence college...ah jina refu mengine nimesahau ila we njoo tu hivyo hivyo
Yaani jamaa anavamia Langley?
Kuna kitu kitatokea, si bure...
MWANAKULIFIND MWANAKULIGETAn armed man was shot by FBI agents Monday after a standoff of several hours at the entry gate to the CIA headquarters, the federal investigation agency said.
The unidentified man was prevented from driving past the initial gate into the CIA's sprawling wooded compound just outside Washington early Monday afternoon.
Security personnel reportedly tried to negotiate with the man to surrender for several hours.
The FBI said in a statement that the individual "emerged from his vehicle with a weapon and was engaged by law enforcement officers."
"The subject was wounded and has been transported to a hospital for medical attention."
Jitahidi mkuu kujua kiingereza ukifa bila kujua kiingereza ni wasted lifemunifundishege na mie kingledha
CIA wana deal na masuala ya kiusalama yanayotokea nje ya US ambayo yana athari kwa US (extrenal security threats) wakati FBI wao wanahusika na usalama ndani ya states zote za US (internal threats).nilikua sijui kama ofisi za CIA zinalindwa na FBI
Ni kama Mossad na Shin Beth kwenye taifa teule!CIA wana deal na masuala ya kiusalama yanayotokea nje ya US ambayo yana athari kwa US (extrenal security threats) wakati FBI wao wanahusika na usalama ndani ya states zote za US (internal threats).
Hivyo kusikia FBI wakizungumzia kuhusu hilo tukio ni kwakuwa wao ndio wana jurisidiction (mamlaka) juu ya masuala yote ya kiusalama yanayotokea ndani ya US.
Maana yake ingekuwa tukio limetokea katika office za CIA nje ya US wala usingesikia FBI kuhusika.
Kama nimekosea wajuvi mtanirekebisha.
Mgerasi ebu chambua kidogo PSG itumie mbinu gani hili iifunge mancity mda mfupi ujaoCIA wana deal na masuala ya kiusalama yanayotokea nje ya US ambayo yana athari kwa US (extrenal security threats) wakati FBI wao wanahusika na usalama ndani ya states zote za US (internal threats).
Hivyo kusikia FBI wakihusika na tukio hilo ni kwakuwa wao ndio wana jurisdiction (mamlaka) juu ya masuala yote ya kiusalama yanayotokea ndani ya US.
Maana yake ingekuwa tukio limetokea katika office za CIA nje ya US wala usingesikia FBI kuhusika.
Kama nimekosea wajuvi mtanirekebisha.
uko sawa mkuuCIA wana deal na masuala ya kiusalama yanayotokea nje ya US ambayo yana athari kwa US (extrenal security threats) wakati FBI wao wanahusika na usalama ndani ya states zote za US (internal threats).
Hivyo kusikia FBI wakihusika na tukio hilo ni kwakuwa wao ndio wana jurisdiction (mamlaka) juu ya masuala yote ya kiusalama yanayotokea ndani ya US.
Maana yake ingekuwa tukio limetokea katika office za CIA nje ya US wala usingesikia FBI kuhusika.
Kama nimekosea wajuvi mtanirekebisha.
We Myebusi ndio naona post yako saivi.Mgerasi ebu chambua kidogo PSG itumie mbinu gani hili iifunge mancity mda mfupi ujao
100% yaaniCIA wana deal na masuala ya kiusalama yanayotokea nje ya US ambayo yana athari kwa US (extrenal security threats) wakati FBI wao wanahusika na usalama ndani ya states zote za US (internal threats).