chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 Mar 6, 2014 #1 Habari wadau. Kwa walio apply nafasi za kazi tarehe 5/03/2014 nafasi za Sales andTicketing na passenger service agent kwa njia ya email mbona email yao inagoma ku deliver na katika tangazo email ipo sawa kabisa. Kama kuna aliefanikiwa tusaidiane.
Habari wadau. Kwa walio apply nafasi za kazi tarehe 5/03/2014 nafasi za Sales andTicketing na passenger service agent kwa njia ya email mbona email yao inagoma ku deliver na katika tangazo email ipo sawa kabisa. Kama kuna aliefanikiwa tusaidiane.
L Lucy Mbogoro Member Joined Mar 14, 2013 Posts 12 Reaction score 2 Mar 7, 2014 #2 Email inafanya kazi hakikisha C na T ni capital letters. Commercial.Tanzania@fastjet.com
Elerai JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 474 Reaction score 139 Mar 7, 2014 #3 ckusikia kam fastjet wametoa kz
B Benice Member Joined Sep 24, 2011 Posts 53 Reaction score 5 Mar 10, 2014 #6 Jamani kazi zipi hizo ebu tujulisheni tusojua tafadhali
chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 Mar 10, 2014 Thread starter #7 Benice said: Jamani kazi zipi hizo ebu tujulisheni tusojua tafadhali Click to expand... Deadline kesho
Benice said: Jamani kazi zipi hizo ebu tujulisheni tusojua tafadhali Click to expand... Deadline kesho