Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
Depends na taste yako ya simu. Kila mtu ana mahitaji different ya simu. Some wanapenda flexibility wengine wanapenda securtiy and speed. Ni ww unataka kipi
acha kulinganisha uchafu na tunda.
Teknolojia ikimpita ila akileta apple unaweza kujua kaanza yeye.
Android zilikuja na fingerprint ila alipokuja apple utazani ndio yeye muanzilishi.
Android zilikuja na faceid ila alipokuja apple utazani ndio mwanzilishi.
iphone akitengeneza kitu unaweza kujua ndio mwanzilishi.

Android si mfumo wa kwanza kuja na finger print. Toshiba g500 na 6500
Zikiwa zina run window os ndio simu ya kwanza kuja na finger print. The baadae motorola atrix.
Android si mfumo wa kwanza kuja na finger print. Toshiba g500 na 6500
Zikiwa zina run window os ndio simu ya kwanza kuja na finger print. The baadae motorola atrix.
Hii ni sheria imepitishwa na umoja wa ulaya so hawana jinsi na pia sheria nyingine iliyopitishwa ni kuwalazimisha waruhusu 3rd part stores. So, hapo hawana namna lazima watii otherwise bidhaa zao haziwezi kuuzwa huko
Tafuta hela ndugu yang mm sina s22 ila kutumia iphone 6 siwez bora niendelee kubaki na oneplus 8 pro yang na samsung s8+ (japo ya muda ila imeizid iphone 6