Apple macbook buree!!

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
Hii kauli ya bure imestua wengi kidogo ila ni kweli bure! kwa sababu bei utapanga wewe!!

Ni apple mackbook x os (rangi nyeupe) ilinunuliwa miaka mitatu iliyopitia kwenye mtandao wa amazon us$ 700
Ila leo itauzwa bei yoyote tu, kutokana na vyuma kukaza kwa muuzaji.

specifications
13 inch screen
Processor 2 GHz Intel core 2 duo
Memory 4 GB 667 MHz DDR2 SDRAM
150 GB HDD
Graphics NVIDIA GeForce 9400M 256 MB
Software OS X 10.9.5 (13F1712)

NB: unaruhusiwa kuigagua kadri uwezavyo hata ikiwa siku nzima; au hata ukipenda kuifungua ni wewe tu ilimradi kujiridhisha, na pia uwe na taluma hyo.

picha zinakuja wakuu....
ila unaweza kupitia hiyo link hapo chini Ili kuona picha maana haina tofauti na hiyo.


INAUZWA - Apple MacBook Pro:

Location: dar es salaam
Email: mathayomtakatifutz@gmail.com
 
Haaah inaonekana ni nzuri kabisa.
 
Picha tafandali mkuu
 
picha ndio hizo wakuuu karibuni sana.
 

Attachments

  • biashara 3.jpg
    9.3 KB · Views: 37
  • IMG-20180125-00316-2.jpg
    21.3 KB · Views: 36
  • IMG-20180125-00318-1.jpg
    20.8 KB · Views: 34
  • IMG-20180125-00319-1.jpg
    20.3 KB · Views: 39
  • IMG-20180125-00322-1.jpg
    9.7 KB · Views: 36
Mzigo bado upo kwa wale wote ambao mmekuwa mkini pm na kuulizia, maana wale waliweka ahadi bado naona bado hawajawa serious au pengine wamebanwa na majukumu ingawa wengine wameahidi kesho j/pili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…