Hebu funguka vizuri mkuu watu wengi wapo interestedbei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Mkuu bora upangishe hiyo yako ya bei hiyo. Jifunze kuwa kunyamaza kwa kitu usichokijua pia ni akili.bei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Je nitatakiwa kukulipa wewe pesa ya mwezi mmoja ya udalali?Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera, ulinzi wa uhakika na huduma za shopping floor za chini. Apartment ipo floor ya tatu, upande wenye view nzuri ya mjini na upepo mwanana. Jengo liko pembeni mwa Morogoro road, kituo cha Mwendo Kasi cha Usalama. Ni Km 2 to kufika town center.-Samora. Kodi ni 700,000/ kwa mwezi na unaweza ku
lipa kwa mkupuo wa miezi 6. Maongezi yapo. Apartment yafaa kwa makazi na ofisi. Karibuni kwa mawasiliano zaidi 0752392356.
Ingekuwa kweli bei ndo hiyo kusingekuwa na nafasi zilizowazi mpaka leo hiibei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Na huku Uswahilini kwenye magheto ya choo cha nje watu tungepungua kwa kweli!Ingekuwa kweli bei ndo hiyo kusingekuwa na nafasi zilizowazi mpaka leo hii
Picha zaidi za ndani tafadhaliApartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera, ulinzi wa uhakika na huduma za shopping floor za chini. Apartment ipo floor ya tatu, upande wenye view nzuri ya mjini na upepo mwanana. Jengo liko pembeni mwa Morogoro road, kituo cha Mwendo Kasi cha Usalama. Ni Km 2 to kufika town center.-Samora. Kodi ni 700,000/ kwa mwezi na unaweza ku
lipa kwa mkupuo wa miezi 6. Maongezi yapo. Apartment yafaa kwa makazi na ofisi. Karibuni kwa mawasiliano zaidi 0752392356.
Mkuu bora upangishe hiyo yako ya bei hiyo. Jifunze kuwa kunyamaza kwa kitu usichokijua pia ni akili.
Na huku Uswahilini kwenye magheto ya choo cha nje watu tungepungua kwa kweli!
[/QU hata mie huku wanapopaita dume la nyani ningehama na kuhamia hapo usalama
🤣 🤣 🤣 🤣hata mie huku wanapopaita dume la nyani ningehama na kuhamia hapo usalama
Kama ni laki 2, hebu ngoja na mimi nikapange , bei mchekea kabisa, rum 3 laki mbili?.....bei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Itafaa ukituelekeza sehemu ya kulipia hiyo 200000bei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Naomba kigezo cha kusema bei halisi ya hizo apartment ni lak 2bei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Wakuu nashukuru mmemjibu wenyewe huyo aliyeeneza uongo wa laki 2. Ameona hoja zenu hadi amekimbia. Huu ndiyo uwazi na ukweli.Naomba kigezo cha kusema bei halisi ya hizo apartment ni lak 2
Hakuna kabisa malipo ya udalali. Hutadaiwa hata sh 100 ya udalali. KaribuniJe nitatakiwa kukulipa wewe pesa ya mwezi mmoja ya udalali?
Ubaya Jf wajuaji wengi...ndo maana ukiwaomba clarification wanakimbiaWakuu nashukuru mmemjibu wenyewe huyo aliyeeneza uongo wa laki 2. Ameona hoja zenu hadi amekimbia. Huu ndiyo uwazi na ukweli.