Hiyo kodi ni kwa mwezi au ni ya mwaka mzima?
Ni apartment ipo floo ya kwanza, ina vyumba 3 kimoja master, public toilet, kitchen,dining, Air condition. tiles ina usalama wa kutosha eneo limezungushiwa ukuta na linausalama mkubwa. bei $ 1200. kwa anayetaka nyumba hii pamoja na nyingine nyingi za kupanga na kununua tuwasiliane 0657145555,0755 099 291,
Yap its full furnished but kuna vitu baadhi unaweza kuongeza kama ukihitaji asante sana, hiyo sehemu ni nzuri na ina usalama mkubwa.Fully furnished au ni ya kuleta vitu ndani? I think for that price it has to be fully furnished unless you prove me otherwise
ni ya mwezi pia nina nyumba ambazo zinapangishwa kwa mwezi $ 15,000 ukitaka hizo nione mkuudollarisation
Zipo kaka bt ni zilizo nyingi wanataka $ pia zilizo nyingi ni chumba master na sitting room jiko , nk . hizo za chumba kimoja 2 zipo chache sana . ukiwa tayari nitafute .Mie nataka nyumba yenye chumba kimoja tu cha kulala kwa miezi sita...bei isizidi laki 9 kwa mwezi...
pawe na furnitures...