bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
Nyumba ni nzuri sa kisasa zenye parking kubwa na full security. Kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala sitting room dying room kitchen na ndani kuna kila kitu unaingia na begi lako la nguo tu. Kuna sofa nzur z kisaa kuna smart tv na kin'gamuz cha azam tv kuna vitanda vizuri nk. Bei ni laki 8 kwa mwezi. Mazingira ni mazuri kwani yapo jirani na bahari. For more detail call 0712464777
Karibu sana mkuuMkuu kisu hiko cha 800,000/ usawa JPM huu ni kikali..nitakutafuta kuangalia maeneo ya Boko nyumba za kawaida
Mkuu hizi haziuzwi ila ukitaka tunazo nyingine nzuri kama hizi pia za kisasa utanunua na usijutie pesa yako kwani maisha ni nyumba familia ikiishi mahala pazuri ni jambo jema sana."asee kama nikitaka kununua nyumba moja kati ya hizo unanifanya how much.."
"Nikweli sasa tunaweza kuonana vp ama kama unabaadhi ya picha ya nyumba amaboz ziko jkt ama sinza nitumie pm,sahiz niko mkoani kibiashara "Mkuu hizi haziuzwi ila ukitaka tunazo nyingine nzuri kama hizi pia za kisasa utanunua na usijutie pesa yako kwani maisha ni nyumba familia ikiishi mahala pazuri ni jambo jema sana.
Chukua namba zangu hapo juu mkuu nitafute muda wowote nipo hewani"
"Nikweli sasa tunaweza kuonana vp ama kama unabaadhi ya picha ya nyumba amaboz ziko jkt ama sinza nitumie pm,sahiz niko mkoani kibiashara "
Pia usisite kunitafuta kwa mahitaji mengine ya viwanja maeneo ya mbweni jkt mbweni tete mbweni mpiji. Pia tunazo nyumba za kupanga za kawaida yani unahamia na asset zako pia tunazo nyumba za kuuza nzuri na zakisasa maeneo yote kama ununio.tegeta mbweni boko. Kwa mawasiliano piga namba hiyo hapo juu.
Hiki chumba sidhani kama kuna mtu atakihitaji..Nyumba ni nzuri sa kisasa zenye parking kubwa na full security. Kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala sitting room dying room kitchen na ndani kuna kila kitu unaingia na begi lako la nguo tu. Kuna sofa nzur z kisaa kuna smart tv na kin'gamuz cha azam tv kuna vitanda vizuri nk. Bei ni laki 8 kwa mwezi. Mazingira ni mazuri kwani yapo jirani na bahari. For more detail call 0712464777