Apartment 10 zinauzwa salasala

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
844
Reaction score
1,796
🏒 APARTMENTS 10 ZINAUZWA – SALASALA KINZUDI, DSM (KWA MTENGA)

Zinauzwa apartments 10 zilizopo ndani ya fence katika eneo zuri na linalokua kwa kasi la Salasala Kinzudi. Fursa nzuri kwa uwekezaji wa uhakika wa kipato cha kila mwezi.

πŸ”Ή Maelezo ya Nyumba:

  • Kila unit ni chumba master (self-contained)
  • Apartments zote zipo ndani ya uzio (fence)
  • Kila mpangaji analipia maji (DAWASCO) na umeme kivyake

πŸ’° Mapato:

  • Kodi kwa kila unit: Tsh 150,000 kwa mwezi
  • Jumla ya mapato kwa mwezi: Tsh 1,500,000
  • Mapato kwa mwaka: Tsh 18,000,000

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja:

  • 1,045 sqm
  • Bado kuna nafasi ya kujenga apartments 5 zaidi au nyumba kubwa ya kuishi

πŸ“„ Umiliki:

  • Mauziano yapo kwa mkataba
  • Tayari imesharasimishwa na plot namba ipo tayari kuhamishiwa kwa mnunuzi

πŸ’΅ Bei:

- Tsh 250,000,000 (Mazungumzo yapo)

πŸ“ Location: Salasala Kinzudi – Dar es Salaam

πŸ“ž Wasiliana Nasi:
Call/WhatsApp: 0743257669

⚠️ Kumbuka:
Gharama ya kupelekwa site kuangalia ni Tsh 50,000

πŸ‘‰ Karibu uwekeze leo kwa uhakika wa kipato cha kila mwezi!
 

Attachments

  • 67618.jpeg
    59.9 KB · Views: 5
  • 67617.jpeg
    45.8 KB · Views: 5
  • 67616.jpeg
    57.7 KB · Views: 5
  • 67613.jpeg
    67.4 KB · Views: 5
  • 67614.jpeg
    68.3 KB · Views: 5
  • 67615.jpeg
    68.7 KB · Views: 5


ROCE ni 7.2%,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…