ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 108
Wadau hampendi kuhishi kwenye apartments?
Tatizo hiyo bei ndio maana watu wako kimya,ina maana kwa mwezi ni sh million saba na laki mbili
Mbona kodi ya mwezi ni mshahara wangu mzima?!!
Ukienda Peninsula huko Masaki na Oysterbay hata mshahara wako wa mwaka mzima unawezashindwa lipia nyumba! Kodi ni hadi Dola 15,000 per month! Kwa Dar es Salaam ni wewe unaamua uishi wapi? Kuna vyumba hata vya shs. 20,000 kwa mwezi! Kupanga ni kuchagua! Karibu!
Watu kwa mbwembwe bwana! Eti tatizo kunduchi mbali! Sema parefu hapo baba!Tatizo kunduchi mbali sana..
Watu kwa mbwembwe bwana! Eti tatizo kunduchi mbali! Sema parefu hapo baba!
hili ndio jibu
Kunduchis is a very good neighbourhood, ila kwa hiyo bei mkuu? na mafoleni ya kule Dah!
600,000 x 12 = 7,200,000 kwa mwaka! Hiyo pesa umeshajenga nyumba ya vyumba viwili! ahahhhhaaa. Hizo bei ni kwa wageni wanaokuja na kutoka bongo, lakn kama bongoland ny home, na kipato cha elf50 kwa siku hiyo ni ghali!