Anyways waliambiwa wajikadirie !

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,723
Reaction score
11,934
Uwajibikaji ilitakiwa kiwe ni kisu kikali kwa viongozi wanaotumia ofisi za umma kujinufaisha au kuumiza wengine.
Kila kitendo cha ufisadi,ubadhirifu au ukosefu wa uwazi kinapaswa kushughulikiwa harshly.

Itazame nchi yoyote Afrika ilopata uhuru kipitia mazungumzo fananisha na walopata uhuru kupitia Mapigano.

Utofauti unauona? Ni upi?

Iddi amini alitaka kuchezea chakula cha watawala,watawala wakatupeleka kwenye vita……..sasa watawala wakula mnyama tu…:sisi tunacheka tu.

Mwalimu anapiga job mpaka 60, then anastaafu, anaambiwa Mzigo wake atapewa ila kwa installment, then lazima KIKOKOTOO kimlambe Shingo, then conditions kibao

Then there’s a Politician

Yani tunashindwa kuwapigania hata wa raia wenzetu (walimu)

Taifa letu ni ngumu sana!!!
 
Jamani umeandika kitu kikubwa sana, tafadhari endelea kuamsha akili zilizolala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…