Wewe upo wapi??sina hata mia,unafikiri ntajiajiri vp?
Nitafute, vijana wenye ujuzi kama nyinyi mnahitaji maelezo kidogo ili mzindukemimi nipo dar
Mpe mtajiUkijiajiri utapata hela nyingi zaidi kuliko ukiajiriwa na kusubiri mshahara wa 400,000 mwisho wa mwezi