nimepita TPDC bado kabisa mchakato, pia unaweza fuatilia maofisini kuuliza kuliko kukaa kusubiri taarifa maana kila anayeapply kazi ana haki ya kupata majibu kama kapata ama la....kwenye matangazo mengi ya kazi wanaweka na namba za simu za ofisi ni ruhusa kupiga kuulizia