God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
SMADAV sio antivirus!!! Usizani uko safe ukiwa na smadav!!!Jarbu kuangalia SMADAV
Kama unataka ulinzi madhubuti wa pc yako TUMIA KASPERSKY au bitdefender tena ukanunue dukani ya mwaka mmoja...achana na hizi za miaka 100 sijui 99 ni usanii mtupu!!!Nilikua natumia kaspersky kwa window 7 gharama zikanishinda kwan inakaa kwa mwaka tuu ina expire nikahamia avast sasa hii ni nzuri kwani ni forever elf15 tuu wa enjoy milele 99yrs of expiration.
sasa jaman naomben uzoef wenu ipi bora na nyinginezo pia nambien
MKUU SET UP ZAKE UNAZO????nimeit umia tangu 2013, ishafika expiry date unaing`oa kisha kuinstall tena
View attachment 327740
hiyo windows 7 si ui upgrade bure to windows 10,ambayo ina inbuilt antivirusNilikua natumia kaspersky kwa window 7 gharama zikanishinda kwan inakaa kwa mwaka tuu ina expire nikahamia avast sasa hii ni nzuri kwani ni forever elf15 tuu wa enjoy milele 99yrs of expiration.
sasa jaman naomben uzoef wenu ipi bora na nyinginezo pia nambien
MKUU SET UP ZAKE UNAZO????
IPO kwenye torrents. Ikikosa ntakutumia kwenye driveMKUU SET UP ZAKE UNAZO????
haifai kabisa ilinifutia files zangu kwnye USBJarbu kuangalia SMADAV