Wafe tu hawa wababu mizee ina zaidi ya miaka 80 lakini ndiyo kwanza inang'ang’ana kukaa kwenye office za umma.
Haiyumkiniki wao kwa sababu ya sera zao za kizee (siasa za 60s huko) hawawashauri vyema watawala wazee kama wao kukubali mabadiliko ya kiuongozi kwa vijana kwenye mataifa yao.