TREVO HEALTH AND WEALTH.
Trevo ni kirutubisho chenye viungo 174 ambavyo vinatokana na mimea, mbogamboga na matunda na madini asili.
Kirutubisho hicho kimetengenezwa Marekani na Billionaire aitwaye Mark Steven na Mkewe Holli
Trevo ina nguvu tatu Renew, Revive na Restore Seli za mwili
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trevo unaipa nguvu kubwa Sana ya kutoa sumu mwili kwakuwa inakuwa na antioxidant kubwa Sana kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili Wa mwanadamu hivyo basi inasaidia yafuatayo;
1. Kisukari
2.Kansa
3.Presha
4.Magonjwa ya macho
5.Magonjwa ya Ngozi
6.Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
7.Matatizo yote ya kipindi cha hedhi kwa wan awake
8.Kuongeza CD4 haraka Kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
9.Magonjwa ya Moyo
10.Kupooza/stroke
11.Watoto wasiopenda kula
12.Asthma
13.Allergy
14.KUPUNGUZA UZITO
15.kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC cha 373000 antioxidant
16. Changamoto ya kubalance homoni za mwili kwa wale wanawake wanaopata mimba bila mpangilio
17 .kuleta brain focus(kutoa stress)
18.kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka na uchovu
19.kuwapa umakini wa akili watoto ktk ukuaji wao
20.vidonda vya tumbo
21.mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
22.matatizo ya mgongo
23.Kuimarisha na kukuepusha na maradhi hapo juu na mengine mengi sana.
Kuna shuhuda nyingi sana kuhusu magonjwa mbali mbali na ni kipindi kifupi tuu ilivyo ingia hapa tanzania!
Pia trevo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani.
1.KOSHER. ni shirika la waisraeli ambalo hutoa certificate na nembo ktk vyakula amabavyo ni sahihi kutumiwa na mtu mwenye imani ya kikristo au myahudi inamaana kirutubisho hiki kinafaa kuliwa na watu wa imani hizo.hakina mchanganyiko unao pingana na imani hii
2.ORAC- ni maabara kubwa inayotumika kupima uwezo wa utoaji sumu mwilini ktk vyakula iliipatia Trevi kiasi kikubwa sana cha antioxidant ya 373000 ni kiasi cha juu sana kulinganisha na supplements nyinginezo
3.HALAL ni shirika la kiarabu kwa wale wenye imani za kiislamu walithibitisha trevo ni salama kwa mtumiaji mwenye imani hiyo haina mchanganyiko wa kwenda kinyume na imani hiyo
4. VEGETARIAN . Ni shirika la watu wasio kula mazao ya mnyama bali wana kula mboga mboga na mimea na matunda na mizizi
5.TFDA- shirika la cha kula na dawa tanzania hii ilidhibitisha ni trevo ni sahihi kwa matumizi ya mtanzania hivyo wakaipa certificate tarehe 11/11/2014
Pia Trevo kiafya matokeo ni haraka na mazuri kwaajili ni micronized inaenda direct ktk cell inafanya nguvu tatu Restore,Renew and Revive na shuhuda nyingi sana tanzania kwakipindi kidogo iliyokuwepo hapa nchini
Mbali na faida ya kiafya na kugusa maisha ya watu waliokata tamaa kiafya trevo inanjia nane zakupiga pesa kupata mtonyo aka Pesa.
Unataka kuzjuaaaa?npm