Inaonekana kuna kigezo ambacho watu wa TRA wamelimiti kwa wale wanaomba ajira,ni kuhusu umri ni miaka si zaidi ya 30, kwa waombaji jambo ambalo limewatupanje watu wengi wenye experience lkn ni bahati kwa vijana pia kupata ustawi......so ningependa kuwakumbusha hilo.MUNGU AWASAIDIE.