ghetopuzzle JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 442 Reaction score 506 May 30, 2022 #1 Nasimama na mwanetu wa mwanza Mwanamke anapaswa kuheshimu mumewe Mwisho onyo kwa wanawake...Kitu wanajitaji wanaume ni heshima tu hata bibilia imesema.
Nasimama na mwanetu wa mwanza Mwanamke anapaswa kuheshimu mumewe Mwisho onyo kwa wanawake...Kitu wanajitaji wanaume ni heshima tu hata bibilia imesema.
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,544 Reaction score 3,001 May 30, 2022 #2 Mkuu we simama nae tu wanamke wapo wengi sana Kufall in love dunia ya sasa hivi ni ujinga[emoji41]
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,851 Reaction score 5,695 May 30, 2022 #3 Sahivi mwanamke akizingua tu anakula saba za kichwa