Mmiliki wa hiyo App ni wewe mwenyewe au jeshi la Polisi?Nimeshangaa sana baada kutumia hii app na kugundua kwamba eti bima niliyoikatia pikipiki yangu haisomi! Majibu yalikuwa ni haya, Hiki chombo cha moto hakina bima, KATA BIMA MPYA. TII SHERIA BILA SHURUTI!. Sikuamini. Nikajaribu pia kuangalia bima kwenye pikipiki nyingine zilizopo hapa kijiweni, Katikati pikipiki 20 ni 2 tu ambazo bima ilisoma bila shida. Uzuri ni kwamba wengi hapa tumechukua bima sehemu moja. Tumewapigia simu, baada ya kuwachimbia biti kwa kuwatishia kuwapelekea 'ugeni' ndipo walipoziingiza kwenye system. Ndugu zangu, jeshi la polisi wanasema pikipiki ndizo zinaongoza kwa bima feki, hiyo ni kweli kabisa. Na hii inatokana na maajent wasiyo waaminifu. Ili kuepukana na utapeli huo tafadhari kagua bima ya chombo chako kwa kudownload app hii huko playstore. Andika TIRA MISA. Ahsanteni.
Nilichoona kule ni TIRA MIS, MISA haijiNimeshangaa sana baada kutumia hii app na kugundua kwamba eti bima niliyoikatia pikipiki yangu haisomi! Majibu yalikuwa ni haya, Hiki chombo cha moto hakina bima, KATA BIMA MPYA. TII SHERIA BILA SHURUTI!. Sikuamini. Nikajaribu pia kuangalia bima kwenye pikipiki nyingine zilizopo hapa kijiweni, Katikati pikipiki 20 ni 2 tu ambazo bima ilisoma bila shida. Uzuri ni kwamba wengi hapa tumechukua bima sehemu moja. Tumewapigia simu, baada ya kuwachimbia biti kwa kuwatishia kuwapelekea 'ugeni' ndipo walipoziingiza kwenye system. Ndugu zangu, jeshi la polisi wanasema pikipiki ndizo zinaongoza kwa bima feki, hiyo ni kweli kabisa. Na hii inatokana na maajent wasiyo waaminifu. Ili kuepukana na utapeli huo tafadhari kagua bima ya chombo chako kwa kudownload app hii huko playstore. Andika TIRA MISA. Ahsanteni.
Mmiliki wa hiyo app ni mamlaka ya uthibiti wa huduma za bima nchini (Tanzania Insurance Regulatory Authority -TIRA )Mmiliki wa hiyo App ni wewe mwenyewe au jeshi la Polisi?