getrusa JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 2,150 Reaction score 1,824 Aug 22, 2015 #1 Wadau Kibaha kwa Mathias karibu na kiwanda cha magari ya jeshi nyumbu, kuna viwanja vyenye ukubwa wa hatua 20 kwa 20 vinauzwa muuzaji ana shida anahitaji kuitatua kama unahitaji ni Tsh 4 milion. Wasiliana nami kama wahitahitaji 0752995192.
Wadau Kibaha kwa Mathias karibu na kiwanda cha magari ya jeshi nyumbu, kuna viwanja vyenye ukubwa wa hatua 20 kwa 20 vinauzwa muuzaji ana shida anahitaji kuitatua kama unahitaji ni Tsh 4 milion. Wasiliana nami kama wahitahitaji 0752995192.
legend07 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 333 Reaction score 137 Aug 23, 2015 #2 Mh ana shida kwa bei hyo, huyo hana shida.... Watu wanauza kwa mita bei hyo
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Aug 23, 2015 #3 legend07 said: Mh ana shida kwa bei hyo, huyo hana shida.... Watu wanauza kwa mita bei hyo Click to expand... Mmh 20' 20 kwa 4M! Hiyo shida haitatatulika kweli. .
legend07 said: Mh ana shida kwa bei hyo, huyo hana shida.... Watu wanauza kwa mita bei hyo Click to expand... Mmh 20' 20 kwa 4M! Hiyo shida haitatatulika kweli. .