Anataka nimuoe yeye

Huyu nae kakimbilia kuoa wakati hajielewi.

------
 
Umri wake tafadhali
 
Hahahahahahahahahahahaha nimecheka kwa sauti kubwa, wewe ni Mwanaume au ni Mvulana?
 
Kwanzaa ushamtafuna ? hicho ndo cha muhimu

Kama tayari achana na huyo mpuuzi endelea na ndoa yako Kama bado hakikisha unamtafuna halafu endelea na mambo yako

Nimesema hayo sababu ni aibu kwa baharia kuacha papuchi uliojisogeza hvyo
Sijamtafuna bado aiseee itabidi nimtafne mana hamna namna
 
Sasa kwanini hukumuoa yeye, unamfahamu kuliko more wako ungemuoa yeye Sasa. Hata wanawake nao ni watu wanapata maumivu, vijana wa aina hii acheni ujinga kucheza na hisia za wenzenu.
 
Huyu naye mume wa mtu.!!
Dah!! Hatari Sana.
Kuna watu walitakiwa kuwa vijakazi wa wengine.!!
 
Mjulishe mkeo mkuu uone atasemaje
 
Kwanzaa ushamtafuna ? hicho ndo cha muhimu

Kama tayari achana na huyo mpuuzi endelea na ndoa yako Kama bado hakikisha unamtafuna halafu endelea na mambo yako

Nimesema hayo sababu ni aibu kwa baharia kuacha papuchi uliojisogeza hvyo
Nipo kwenye harakati za kumtafuna kaka
 
Kamwulize mkeo (chomoa betri) kama yuko tayari kuachwa
 
Njooni muombe ushaurii kwa Mambo muhimuu ambalo ni zitoo ambalo hata mtu akisomaa nayeye atafute ushari kabla hajakushurii kwamba unategemea tukushauri ujingaa okey muache mkeo na huyoo Dada usimuoee na anzaa kupigaa nyetoo itakusaidiaa maishanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…