samwel mahera
Member
- Aug 26, 2019
- 7
- 4
Jamani nisaidieni hili kuna binti anataka nimuoe wakati mi nipo tayari kwenye ndoa,nlipo mwambia nmeoa kaniambia nmwache mwanamke wangu nmuoe yeye,abadai ananipenda sana kinacho nichanyanga sana nmekua nae yaani nlimheshmu kama Dada yangu,naweza sema namjua zaidi hata kuliko mke wangu mana toka utoto namjua,nifanye nini au nimwache mke wangu ili nimuoe yeye??
waoe wote wawili, achana na mambo ya dini maana zilikuja kwa ndege/majahazi
oa wote
Umemaliza tawi limejisogeza karibu yake achape asepeKwanzaa ushamtafuna ? hicho ndo cha muhimu
Kama tayari achana na huyo mpuuzi endelea na ndoa yako Kama bado hakikisha unamtafuna halafu endelea na mambo yako
Nimesema hayo sababu ni aibu kwa baharia kuacha papuchi uliojisogeza hvyo