Ana bachelor ya education na anatafuta kazi ya ualimu kwenye shule za private ila yuko tayari kusaini mkataba kuanzia miaka 2 nakuendelea. Mwenye taarifa zaidi tuwaailiane.
Bado watu wanafikiria kuajiriwa tu?,kweli watu wamekariri.Mwambie a-google shule binafsi inayotafuta mwalimu,ikishindikana hiyo azurure mchana kutwa jua kali na bahasha mkononi.

Pazuri hapo ka yuko Mwanza anaweza kwenda ktk shule ya secondary ya kiislam ya Thaqafa pale mjini mtaa wa Unguja,ile shule ni kaka zangu wawili ndio wana run pia kuna headmaster wao ni jamaa mmoja toka Uganda ana moyo swafi sana labda ungejaribu kulishughulikia hilo.Mr Murage Msherwampamba.