Ni msichana (from Ethiopia), yupo DSM kikazi na amepanga nyumba maeneo ya Kariakoo, mtaa wa Narung'ombe. Ina 2 bedrooms, kitchen, sitting room, toilet na bafu na sitting room. Anatafta met ambaye watashare costs. Kwa sasa nyumba haina furnitures ila zitanunuliwa ila kama met atakuwa nazo anaweza kuzileta. For more details ni PM
Usiwemuoga wewe, akufanyie ukatili we umekuwa kijakazi wake, unacharaza makofi heshima inarudi, kama we ni mwanaume unampiga mashine kwanza ili akili itulie!