estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
we nione bwege tu,nakwambia hiviii nasubiri chakula kikolee tui la naziHabari zenu,
Kuna kaka mmoja kitaani ananipenda kinyama na nilishamwambia kuwa mimi sikuhitaji afanye maisha yake ila hakomi meseji kama zote yani naweza tukatoka wote nikamgombeza weee hadi huruma yani kawa kinganganizi nam-block anapiga namba nyingine, yani kutoka moyoni simpendi simpendi moyo wangu umegoma kumpenda nitumie njia gani nyingine ya kumuumiza ili asepe mazima.
Huyu kijana nilimkubalia bahati mbaya kwa sababu sasa hivi sina mpenzi, dalili zote vituko vyote ninavyomfanyia sijui haoni au ni nini yani hata kosa liwe langu yeye upotezea yuko tofauti kabisa na wanaume wengine au ananiektia?
"'Ananipenda kinyama''
" asepe" mazima.
Tuachane na hayo maneno hapo juu.
Umeseme umetumia nyia zote na umemfanyia vituko vyote lakini amegoma kukuacha. Nasikitika kusema hamna njia nyingine wala kituko kingine kilichobaki kwenye 'ghala', hivyo anza tuu kumpenda. Unayoyapitia ni matunda ya kutokufanya maamuzi sahihi wakati wa kumkubali huyo kaka.
Wakati mwingine usifanye maamuzi bila kufikiria maana gharama utakazolipa ni kubwa sana.
Ushauri mzuri sanaBinti sasa nyingine usipende kusikiliza kila kitu moyo wako unacho kisema kwa sababu unaweza jikuta unapoteza kitu cha thamani katika maisha yako.
Kama ana endelea kukupenda pamoja na maudhi unayo mpa ili akuache,jiulize kwenye mtaa wako kuna wasichana wangapi tena wazuri kukuzidi wewe lakini haangaiki nao ila anaangaika na wewe?
Kumbuka unavyo chelewa kumpenda ndivyo na yeye upendo wake kwako unapungua ,ipo siku utamuhitaji na hauta mpata kamwe na utabaki kujilaumu.
Kabla hauja muacha huyo jamaa angalia ana malengo gani katika maisha yako.
Wapo wengi walifuata mioyo yao inavyo taka kama wewe unavyo taka kufanya lakini mwisho wake yakawa majuto kwao.
Kabla haujafata moyo unacho kitaka jiulize hicho kitu kina matokeo gani katika maisha yako ya kila siku.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Binti sasa nyingine usipende kusikiliza kila kitu moyo wako unacho kisema kwa sababu unaweza jikuta unapoteza kitu cha thamani katika maisha yako.
Kama ana endelea kukupenda pamoja na maudhi unayo mpa ili akuache,jiulize kwenye mtaa wako kuna wasichana wangapi tena wazuri kukuzidi wewe lakini haangaiki nao ila anaangaika na wewe?
Kumbuka unavyo chelewa kumpenda ndivyo na yeye upendo wake kwako unapungua ,ipo siku utamuhitaji na hauta mpata kamwe na utabaki kujilaumu.
Kabla hauja muacha huyo jamaa angalia ana malengo gani katika maisha yako.
Wapo wengi walifuata mioyo yao inavyo taka kama wewe unavyo taka kufanya lakini mwisho wake yakawa majuto kwao.
Kabla haujafata moyo unacho kitaka jiulize hicho kitu kina matokeo gani katika maisha yako ya kila siku.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]we nione bwege tu,nakwambia hiviii nasubiri chakula kikolee tui la nazi
nikiweka mezani ile unaanza kula tu, nakupokonya sahani,kijiko,chakula chote 'hamna kula"
kutesa kwa zamu, we si unafkiri siumiii kausha zamu yako ikifika "utaulizia mwenyewe kamba nzuri ya kujinyongea"
katani au nyororo.
[emoji51] [emoji51] [emoji51]"ananipenda lakini hayuko moyoni" mweke matakoni basi,, ukinya waweza mchamba akaondoka.....pumbafu sana wewe.....penzi hupandwa then huchipua,,, humea kwa kupaliliwa huku likimwagiwa maji...hukua na kukomaaa.....