Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..
Sasa kijana kumbe hata pakuka huna pango la bibi na babu bado wewe mgeni tena unaleta mgeni mwengine iv ni sawa kweli ukifikiria au ni heshima za wapi hizo? soma kwanza kwa bidii iliupate maisha yako hao wa dada hawaishi kila leo wanazaliwa,utawakuta na utawawacha...Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..
Me ni kijana wa miaka 21 niko na mpenzi wang,pia nakaa na babu na bibi yangu katika hali ya kustaajabisha jana demu wang kaja hom kabla hata sijamuona babu kamtimua...
Mpenz wang amekacrka xana na anasema hatokuja tena hom na hataki tukutane guest wala wapi...naombeni uxhauri wenu..
huku kwa watu wazima bwana, kwan shuleni kwenu mida ya pumziko au siku ya michezo hamkaagi kimakundi makundi, kama ndo hvyo ukiwa kwenye hayo makundi waombe ushauri! Ila mtoto mdogo kupeleka demu hom ni kukosa heshima.
Alafu huyu mnategemea apate div.iii kweli???