Tuna hitajio la Mwalimu wa Madereva (Drivers Instructor) katika taasisi yetu ya (Women on Wheels-Africa)
SIFA ZA MUOMBAJI
-Awe na uthibitisho wa ualimu wake (Driving Instructor's Certificate Of Registration) uliotolewa na NIT
-Awe na nidhamu ya kazi na record nzuri katika utendaji wake wa kazi.
-Awe mkazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.
-Mwisho wa Kutuma Maombi ni Siku ya Ijumaa tarehe 06.04.2018 Saa 9 mchana.
Namna ya Kuomba;
Tuma CV yako kupitia fxbiz@yahoo.com. au wasiliana nasi kupitia namba 0629 234 099 tukuelekeze namna ya kufika ofisini kwetu.
kuna ticha mmoja wa kike alinifundishaga gari st Joseph Bomang'ombe huyu sina namba zake maana boma sijakaa sana nahisi angewafaa maana alikuwa ni mwalimu mzuri