S sirjohn JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 767 Reaction score 679 Aug 13, 2015 #1 Anahitajika msichana wa kuuza duka la vinywaji vya jumla Sifa 1. Awe na elimu ya kuanzia form 4 na kuendelea 2. Awe na customer care nzuri Biashsara iko Tabata Bima. Mshahara Mshahara na benefit nyingine tutaelewana. Ni pm kwa maelezo zaidi
Anahitajika msichana wa kuuza duka la vinywaji vya jumla Sifa 1. Awe na elimu ya kuanzia form 4 na kuendelea 2. Awe na customer care nzuri Biashsara iko Tabata Bima. Mshahara Mshahara na benefit nyingine tutaelewana. Ni pm kwa maelezo zaidi
ashura oscar Member Joined Apr 29, 2015 Posts 12 Reaction score 1 Aug 13, 2015 #2 Yupo mwenye sifa hizo ntatute apa 0655617869
V veneranda chrisant New Member Joined Jul 16, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Aug 13, 2015 #3 0652845464 nicheki
imani12 Member Joined Apr 10, 2015 Posts 31 Reaction score 4 Aug 17, 2015 #5 sirjohn said: Anahitajika msichana wa kuuza duka la vinywaji vya jumla Sifa 1. Awe na elimu ya kuanzia form 4 na kuendelea 2. Awe na customer care nzuri Biashsara iko Tabata Bima. Mshahara Mshahara na benefit nyingine tutaelewana. Ni pm kwa maelezo zaidi Click to expand... Mimi ni mvulana nimemaliza kidato cha nne na nimesomea masomo ya book-keeping na Commerce naomba kama naweza kupatiwa nafasi hiyo. Ahsante. 0655191544 na 0757191544
sirjohn said: Anahitajika msichana wa kuuza duka la vinywaji vya jumla Sifa 1. Awe na elimu ya kuanzia form 4 na kuendelea 2. Awe na customer care nzuri Biashsara iko Tabata Bima. Mshahara Mshahara na benefit nyingine tutaelewana. Ni pm kwa maelezo zaidi Click to expand... Mimi ni mvulana nimemaliza kidato cha nne na nimesomea masomo ya book-keeping na Commerce naomba kama naweza kupatiwa nafasi hiyo. Ahsante. 0655191544 na 0757191544