Raymond Chanzi
Member
- Oct 18, 2015
- 12
- 3
Airport karakatasasa hio Lodge iko wapi kwanza?
airport karakata ndio wapi? tandahimba? misungwi, koromije, dsm, mwanza, sumbawanga au wapi? mbona hueleweki unawawekea hao wenzio matangazo bubu!Airport karakata
Mshahara kiasi gani?Makos General Enterprises ilikuwa inahitaji muhudumu wa Lodge kwa vigezo vifuatavyo.
>Awe Ana elimu atleast Form4 na zaidi
>Umri usiozidi miaka 26
>Msafi
>mwenye lugha nzuri na wateja
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0692778072
Mshahara kiasi gani?,na muda wa kazi ni masaa mangapi, mkuu?!Makos General Enterprises ilikuwa inahitaji muhudumu wa Lodge kwa vigezo vifuatavyo.
>Awe Ana elimu atleast Form4 na zaidi
>Umri usiozidi miaka 26
>Msafi
>mwenye lugha nzuri na wateja
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0692778072
Tuma nauli kesho nianze kazi. popote pale mlipo.
WAAMBIEDa kaka kama umepata ni bora kusema kuliko kila ukipigiwa cm unadai uko buz so nn maana ya hili tangaza sasa acheni kusumbua watu wako na shida na kaz sio wote wazinguaji or another issue not job?
Wengine wababaishajuDa kaka kama umepata ni bora kusema kuliko kila ukipigiwa cm unadai uko buz so nn maana ya hili tangaza sasa acheni kusumbua watu wako na shida na kaz sio wote wazinguaji or another issue not job?
Makos General Enterprises ilikuwa inahitaji muhudumu wa Lodge kwa vigezo vifuatavyo.
>Awe Ana elimu atleast Form4 na zaidi
>Umri usiozidi miaka 26
>Msafi
>mwenye lugha nzuri na wateja
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0692778072