Habari wakuu, Mimi ni Mtanzania halisi kwa kuzaliwa nipo Mbeya mjini natafuta kazi ya udereva ambapo uzoefu wangu ni wa magari ya mizigo ( Heavy Duty trucks na normal trucks ) nimeendesha gari kubwa kwenye kampuni ya MAHENGE TIMBER ipo Mbeya-Uyole kwa miaka 3 badae nikahamia SMART TIME...