Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
- Thread starter
-
- #21
Niliomba kazi BOA na upon submission of my CV nlijua fika sitopata ile kazi. I guess yule mmama aliitupa ile bahasha yangu ya khaki. Maswali aliyoniuliza kuhusu dini yangu ni ya ajabu sana maana jina langu linaashiria fika Mimi ni Muslim.Katika nchi yetu toka ipate uhuru sijawahi kusikia kigezo cha udini kikiwa listed wazi wazi kama ulivyo fanya wewe,ila mimi nakupongeza kwa kutokuwa mnafiki wa kuficha hisia na hurka zako za udini.
Huyo jamaaa yako hajui akisemacho na bahati mbaya anakufanya na wewe usijue ukisemachoNi kweli sio waislam wote wapo hivyo,ila hawa wachache wanawachafua sana,ila mwisho wa siku wakristo na waislamu wote ni watoto wa MUNGU mmoja,na hata kufa wote tunafukiwa ardhini.
Hivi umeshawahi kuona matangazo ya kazi ya world vision moja ya masharti yao ni moja ya referees awe church leader, huo nao ni ubaguzi piaKatika nchi yetu toka ipate uhuru sijawahi kusikia kigezo cha udini kikiwa listed wazi wazi kama ulivyo fanya wewe,ila mimi nakupongeza kwa kutokuwa mnafiki wa kuficha hisia na hurka zako za udini.
Thanks kwa ufafanuzi mkuuKama shule ni ya kiislamu na inafunda watoto maadili ya dini ya kiislamu mlitaka alete wasio waislamu, nakumbuka ashasema akiwa mwanamke ni advantage goal, mnaweza ona wanawake ambao si waislamu vaa yao ni tofauti pia. So Mimi si muislam lakini miiko ya tamaduni za kidini inatofautiana au haiwezi kuwa sawa na mkaelewana hata siku moja. Sema mumemuelewa mtoa uzi vibaya
Habari zenu wadau,
Kuna nafasi moja ipo wazi na inahitaji kujazwa as soon as it can be! Nafasi hii kwa mfumo wetu ni ya "academic manager"
Shule husika ina madarasa nane ambayo mawili ni kindergaten na madarasa 6 ni ya primary. Academic manager atakuwa na majukumu ya kuhakikisha day to day activities are well accomplished, he/sh will be working closely with teacher mentor ambae yupo tayari on site, he/she will be in charge of assigning tasks to volunteers who are mostly foreigners, he/she will be reporting to foundation manager and will be attending the weekly management meeting in a weekly basis, and he/she will be responsible for all other tasks assigned by the foundation manager.
Sifa za kwanza muhimu ni :-
(i) awe ni mwalimu by proffession na awe na ngazi ya degree au master degree
(ii) Awe na uzoefu wa kuwa katika nafasi za uongozi kwa miaka isiyopungu miwili.
(iii) awe na extrra-ordinary ability and capability in English language in both writing and speaking skills.
(iv) Awe na uwezo wa kutumia computer vizuri
Incentives:-
(i) Very good and competitive salary
(ii)Accommodation will be provided during the probation period which is (three - six months)
(iii) Three meals per day will be provided during the probation period excluding drinks
(iv) The school is located by the beach and the working environment is the best
Males are encouraged to apply japo wadada pia mnaruhusiwa, candidates with no families are encouraged to apply, muslims are encouraged to apply though Non- muslims can apply too.
Please kwa wanao-qualify tu ndio waje PM kwa ajili ya contact za kutuma application zao.
Umekidhi vigezo mkuu wakati maelezo mafupi tu haya unashindwa kuyaelewa na kuyafuata. Namna ya ku-apply imeainishwa hapa hapa lakini bado unakuja kuuliza tenaTunaapply vipi hyo nafasi
Nmekidhi vigezo