Anafaa kuwa Rais?

Kuna marais wengi siku hizi
Labda awe Rais wa wafungwa jela
 
Anafaa lakini raisi wetu mtarajiwa Dr.Slaa
 
CDM wengi wanafaa kuwa marais ila wamemuachia dr wa ukweli SLAA
 
Hata Ismail A.Rage alikuwa Rais..Diamond .. Marehem Abbas Tarimba...kuna rais wa boxing federation.. Moira na nyanja mbalimbali kuna marais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…