Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,721 Dec 23, 2015 #1 Nahitaji kitanda cha 4?6 kwa bei nafuu Kwa mawasiliano nitafute 0715797533 nipo dar ubungo maji.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,444 Dec 23, 2015 #2 Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf.
K kotelyimola JF-Expert Member Joined Oct 9, 2015 Posts 1,459 Reaction score 1,509 Dec 23, 2015 #3 Gide MK said: Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf. Click to expand... Amenisitua kwani maana ya kitanda ni mke.
Gide MK said: Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf. Click to expand... Amenisitua kwani maana ya kitanda ni mke.
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,721 Dec 23, 2015 Thread starter #4 Gide MK said: Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf. Click to expand... Kama huna la maana si ukae kimya tu...humu watu tunauziana bidhaa za kila aina ....leo kitanda unaleta dharau...kwan ni lazima u comment?
Gide MK said: Kama uko Ubungo nenda Mwenge jirani na Kanisa ls Kakobe kuna vitanda vingi tu sio kutafutia humu jf. Click to expand... Kama huna la maana si ukae kimya tu...humu watu tunauziana bidhaa za kila aina ....leo kitanda unaleta dharau...kwan ni lazima u comment?