Anaehitaji modem ni universal

MassomoJr

Member
Joined
Jun 5, 2018
Posts
19
Reaction score
9
Nauza modem yenye kasi ya 4G unaweza kutumia laini yeyote ileeeeeee......
Simu no....0714265340
Napatikana Dar Yombo Dovya TMK
Bei ni rahisi we nitafuteeee
 
Bei rahisi hamuijui jamani dah !, bei pm na tangazo ungeweka pm basi
 
nipo kimara baruti nauza modemu pia yenye sifa twaja hapo juu ni mpya kabisa bei efu kumi na mbili tu nna Shida ya haraka sana
 
nipo kimara baruti nauza modemu pia yenye sifa twaja hapo juu ni mpya kabisa bei efu kumi na mbili tu nna Shida ya haraka sana
we jamaaaaa jauu sanaaaaa unadhan natshka bc we uzaaa kwa bei hyo me yangu n hyooo anaehtaji anitfute tyuuuuu 0714265340
 
nauza modem yenye kasi ya 4G unaweza kutumia laini yeyote ileeeeeee......
Simu no....0714265340
Napatikana Dar Yombo Dovya TMK
Bei ni rahisi we nitafuteeee
Biashara za kibongo ngumuuu zimekaa kimaficho eti nitafutee hahaaa dah yaani mimi kwa uhaya wangu nimiaka 60 nianze kukutafuta kama ukiuza nitag...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…