Huh????Amvae ya kazi gani!!Kama uko siriaz kama unavyodai tuma washenga uombe uchumba!!
imekaa vizuri hii!,keep on the planNimekusoma Sigma, nina wazo "nisababishe" fasta ili Mama awe mpole,hili unalionaje
Niko serious Lizzy,je ninaweza kutuma washenga hata kabla yeye hajaandaa Mazingira home?maana nijuavyo lazima mtoto atangulize kuwaambia wazazi wake ndo then shughuli ya washenga inafuata,nitoe gizani please Lizzy
Wewe unataka umvae mama mkwe to be,kwani ww ni dini gani au ni kabila gani?
Kumbe msaada tutani unataka utoke Beijing tu,poa acha nipite tu.Ni Bint wa wa 23 Years old,anatarajia kumaliza chuo (UDSM) July 2011.
Huyu mtoto mi mwenyewe ndo nimeonesha "DIRA",nimeanza nae tokea akiwa kidato cha sita, tumekubalia akimaliza tu Mwanaume navuta (Niko Siriaz katika hili,sina mpango wa kumchezea huyu bint), Tatizo kwao wana mtreat kama mtoto sanaaa yani kiasi kwamba hata yeye ana behaviour za kitoto,kwa kiasi fulani nim mtrain ku build confo baada ya kuwa nae na kuwa nampa Mikasi ya ki utu uzima, lakini akirudi kwao ndo vile yani, mtoto mtoto yani!!!
Juzi ka introduce issue yetu kwa Mamaake(Mama Kumbena flan hv), Mama ache aje juu yani,,,"Oooh sitaki kusikia hayo kwa kipindi hiki!!!"
Maskini Kimwana changu kimekosa Raha (Hata mie pia coz real nampenda), reaction ya Mamaake ilikuwa busted na the way alivyopresent issue yetu kwa Mamaake...
Jamani hebu nipeni Msasada wa Mawazo espe. Kina Michelle, nifanyeje,tumeplan amavae Tena Mamaake once again,nipeni ushauri ili niweze kumshauri namna ya Kumvaa Bi Mkubwa wake....
Andaeni Michango ya harusi
Ni Bint wa wa 23 Years old,anatarajia kumaliza chuo (UDSM) July 2011.

lengo langu ni kutaka kujua kama kabila/dini yake kama wanakubali hayo unayotaka kufanya,kwe2 ukija kwa style unayotaka kufanya utakula mikwaju mpaka hatutaki wakwe wa style yako wa kujilipua wenyewe.Muulize huyo my wife wako to be kwao kukoje?usikurupuke ndugu yangu utaumia bure.Hilo la dini na ukabila linakujaje tena hapa Washa*2?
Sio mie nitakaye mvaa Bi Mkubwa ake,ni yeye mwenyewe, so nilikuwa najaribu kupata tactic hapa iliniweze kuzi pass kwa bint pindi atakapomvaa Bi Mkubwa ake