ooh my dog!!!!!!:behindsofa:Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.
Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.
mungu atustiri na vizazi vyetu,inakuwaje mama unamvulia mwanao ulombeba tumboni mwako miezi 9.akhhhhh!
Yani wamezini kwa siri mpaka wamekosa haya na mimba juuuu loh huyu mwanamke hafai kama ni mama nilazima upige marufuku nyumbani kwako anaweza kukuchukulia mumeo bila aibu...mtoto atakayezaliwa atapata mtihani kweli, sijui atamwita kaka/baba yake baba au kaka!!!!
Sijafanya utafiti wowote, lakini nabisha hii sikweli na sitaki mtu anihoji kwanini nabisha.Someni hii nimeinyaka toka gazeti la leo la 'mwananchi' uk wa 20:
Mtoto amtundika ujauzito mama mzazi:
Kijana mmoja huko zimbabwe ameripotiwa kuwa na mahusiano na mama yake mzazi na amemtia mimba.Mama huyo Ethel Vanghae pamoja na mtoto wake Simon Matsvara wanatoka kijiji cha Pote,chinamhora.Wawili hao hivi sasa wametoweka baada ya chifu wa kijiji hicho kuamuru wakamatwe.
Jamani mbona mnalalama? Ni haki za Binadamu hizo! Kufanya chochote upendacho ili mradi hufunji sheria. Sasa niambieni Dogo kavunja sheria ipi ya Dunia?
Kuna upendo gani ulio mkuu kuliko kumuondoa mama yako nyege zake? Waachani wajilie matunda ya uhuru kwa raza zao.
Bazazi ni Bazazi!