Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,990
Wanazingua tu hao hasa huyo pilipili ndo chenga kabisaa yaan stand up comedy kibongobongo bado sana. Bora niangalie wakenya bongo watasubiri sana.Idris sultan
Hormones
Mc pilipili
Eric Omondi, the greatest of allYaani katika vipengele vyote vya sanaa na burudani wakenya wanatuzidi Kwenye comedy tu. Stand up comedy wakenya wametuacha mbali kwa kweli. Jamani bongo ni shida!!
Hivi ushawahi kuhudhuria stand up comedy za kibongo au hata kuangalia video clip youtube?? Yaani ni pumba tu na vituko flani hivi vya kukera maana wabongo bado wana zile depo za zama za ujima kujipaka masizi au kuvaa mabwanga na marapurapu ili kuchekesha.
Ndio sikatai kwenye mziki tumewaacha mbali hawa jamaa ila kwenye comedy tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao unaebisha tazama show ya churchill uone shughuli yake jamaa wapo vizuri huwezi linganisha na hawa wachekeshaji shobo wakina dullvan n.k
Comedian naowakubali sana toka kenya ni pamoja YY dah huyu jamaa ni fundi wa mafundi( kama humjui nenda youtube u'll thank me later) kuna prof Hamo, Rib crakaz na pia kuna Ayeya AKA(so sad katangulia mbele za haki)
wengine ongezea unaowajua.....
#DG
Hahahah Mkuu kwa niaba tena hiyo hapana mi mzawa aisee sio Bongo bahati mbaya.Omera akiongea kwa niaba ya maomera
Ni kweli.Hata maigizo ya kawaida walikua wamefika mbali sana sijui walipotelea wapi
1. wakumbuka igizo la tausi enzi zile ITV ndio inaanza? mzee kasri, nk
2. wakumbuka vichekesho vya akina mzee ojwang
3. wakumbuka vioja mahakamani ambavyo walianzisha mahususi baada ya kuwa wanawakamata Watanzania na wakiwapeleka mahakamani wanawashinda ikabidi waanzishe kipindi hicho ambacho mbali na kuchekesha kilikuwa kinafundisha taratibu na mwenendo wa kesi za jinai mahakamani?
4. Nikuulize leo ze komed,orijino komedy na futari kuna kitu wanachofundisha kwenye michezo yao zaidi ya kuongea maujinga ujinga tuu?
5. AFADHALI AKINA MZEE SUMAKU, NA MIZENGWE YAO HUWA MAIGIZO YAO YANAUJUMBE ANGALAU
Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa ni Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.Idris sultan
Hormones
Mc pilipili
I watched one video which was uploaded by churchill..Alikuwa anaongea kuhusu kimombo cha wabongo. Hapo ndipo nilikuja kumfahamu. Wabongo walimkashifu sana.walisema anadhalilisha nchi yao.Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
Huyo MC Pilipili alialikwa Churchil Live. Tena kwenye hafla ya kimataifa Laugh Festival ambayo humo ndani kulikuwa na mrwanda, waganda wakali mmoja wao akiwa Salvador na mnigeria mashuhuri Basket Mouth. Alafu Pilipili mwenyewe akatupa fursa. Tafuta hiyo clip yake akiperform, nakuambia utalia badala ya kucheka.
Huyo pilipili sijawahi kumuelewa hata kidogoIdris sultan
Hormones
Mc pilipili
ππna hormones?Huyo pilipili sijawahi kumuelewa hata kidogo
Shida kubwa, kando na jokes zake dry, ni sauti yake ya mwalimu wa driving school. Kanyaagaah..... maafuuutah! Hahaha! [emoji1] Nitamtafuta nimuuzie jokes mbili tatu.I watched one video which was uploaded by churchill..Alikuwa anaongea kuhusu kimombo cha wabongo. Hapo ndipo nilikuja kumfahamu. Wabongo walimkashifu sana.walisema anadhalilisha nchi yao.
Eee. Hii ndiyo niliangalia. Bongo teachers tho ππ