ADO.net Member Joined Jan 12, 2014 Posts 24 Reaction score 2 Apr 16, 2015 #1 kwakweli kama una cash au bima yako ya office kwa chakula cha AMi hospital masaki inabidi ujiandae, gharama ni kubwa na chakula chao ni kibovu kwa wagonjwa hakipikwi vizuri kwa kweli...👋
kwakweli kama una cash au bima yako ya office kwa chakula cha AMi hospital masaki inabidi ujiandae, gharama ni kubwa na chakula chao ni kibovu kwa wagonjwa hakipikwi vizuri kwa kweli...👋
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,379 Apr 16, 2015 #2 Hao si walijitangaza mufilisi kwa ajili ya kodi ya jengo? Kumbe badi wapo?
ADO.net Member Joined Jan 12, 2014 Posts 24 Reaction score 2 Apr 16, 2015 Thread starter #3 Wapo waende wapi chakula hakifai kabisa 120usd kwa siku 😢😢 hiyo mama anayetarajia...
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,339 Apr 16, 2015 #4 Siku nikiwa mtalii lazima nikachunguliepo
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,697 Reaction score 1,792 Apr 17, 2015 #5 Ndio maana wamefilisika kwa mambo ya aina hiyo.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Apr 17, 2015 #6 ​sanaa tu hao hawana lolote