Waungwana jamaa katuma SMS kwa bibi wa nje yenye maneno kuka kunywa chukua chumba nakuja kulipa, mkewe kainasa katika sent items ya simu ya mumewe, naombwa nifanye suluhu
Mwambie nimekoma sitarudia kukusaliti mkewangu (UKIMWI UPO UTAAIANGAMIZA FAMILIA) tupo wangapi? na wangapi kati yao wameathilika kuwa makini tulia ulee watoto
Waungwana jamaa katuma SMS kwa bibi wa nje yenye maneno kuka kunywa chukua chumba nakuja kulipa, mkewe kainasa katika sent items ya simu ya mumewe, naombwa nifanye suluhu
Mbona hajakupa information za kutosha? Alipoulizwa na mkewe alijibu nini? Alikubali kuwa huyo ni nyumba ndogo au alikataa? Maana jibu la kwanza alilolitoa kwa mkewe lina maana sana ktk kuleta usuluhishi. Jamani jichungune na hizi nyumba ndogo ....!
Alikuja kwako kutubu?umefungua kanisa siku hizi eeh?au wewe ndio yule mchungaji kule Kawe?jamaa lazima atakuwa na asili ya Kenya...
Hayo ya ngoswe...wewe shika jembe ukalime...
Alikuja kwako kutubu?umefungua kanisa siku hizi eeh?au wewe ndio yule mchungaji kule Kawe?jamaa lazima atakuwa na asili ya Kenya...
Hayo ya ngoswe...wewe shika jembe ukalime...
Hahahaha....... Kuna limjamaa liliwahi kufumaniwa live na mkewe gesti uchi wa mnyama lishapiga raundi zake tatu...... Demu akachoropoka jamaa likabaki na mkewe. Unajua lilijiteteaje? "Mke wangu nimeamini Mungu anaipenda ndoa yetu..... Ilikuwa nikisaliti na huyu malaya tena bila kondom. Kama si mpango wa Mungu kukuleta hapa labda leo ningeukwaa ukimwi. Mungu yu mwema kwetu"
Cha ajabu mwanamke aliamini alichoambiwa na mpaka leo anaapa mme wake hakummega ule mchuchu.
Umesema mwalimu wao kipofu? Ni kweli asee tena kipofu aliye bubu na kiziwi pia.