you have made my day and let me do justice
ndio maana nazipendaMkuu Amavubi, mbona hizo yeboyebu zimechakaa hivyo? Ataiba nani?
you have made my day and let me do justice
yale mwanzo yalikua maoya kwa haya aiseeSafi sana, kibaka hapo amepatiwa vinginevyo ayaharibu na makubazi yenyewe
yes indeedlol..something new for season holidays..
Mkuu Amavubi, mbona hizo yeboyebu zimechakaa hivyo? Ataiba nani?
Hahahahaaa hahahahaaa za urithi hizo
zina masharti kapewa lol
hii inatafakurisha, unajua kipindi hiki cha uchaguzi lazima funguo nayo niifungie?ufunguo ukipotea tu hapo lazima kidume utembee peku peku...
una ukweli niliwahi kufanya utafiti wa imani za kishirikina kwenye soka nikakuta mchezaji ambaye aliambia kuna jezi lazima avae ndani hata kama amepewa MPYAzina masharti kapewa lol
CC: Kamati ya UfundiHazitupwagi hizo...!!!