Jamani haka kamsemo naona kamezagaa kama moto wa nitrogen ktk media, mitaani na mavyuoni.
Sasa ajabu leo nimemskia hadi mpiga debe anakatumia pale anapoita abiria wanagoma.
Hiv mwanzo wake ni upi?
Nani alianza kukatumia haka kamsemo?
Kwa lengo la utani au alikosea?
Ngoja niwaskizie mnifafanulie, maana nna wasi wasi anaweza kua ni shilole ndio amekaanzisha haka kamsemo.
Maana mambo yake yule balaa tu, and "am so wandazz"