undugukazi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 315
- 82
Muuzaji wa kweli inatakiwa hivi kukataa shobo, ndo maana ameweka mawasiliano yake hapo juu kwa mwenye shida na hiyo gari atamtafutaBei iko wapi?
Naona kitu imetuliaa hasa kwa nje nadhani wamesugua na stili waya!
Mkuu hii kitu ni safi lakini kwa hapa bongo ni presha tuu maana kuna kila sampuli ya vipandi vya kodi kama utitire na vyote unatakiwa kwa mujibu wa sheria ya kibongo uvibandike kwenye kioo cha mbele na uwe na makaratasi mingeni ya kopi haya uyaweke kwenye makalio ya siti ya kukalia ni adhabu tupu au ni kerooo tu
Alteeza sio gari imara japo lina mbio. I do not recomend it. after all Dar na foleni zake utaiinjoi wapi ? RAV 4 IS THE CAR YO BUY.