Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Mkuu nisaidie modem yangu ni safaricom E303 IMEI 868988014139692 Nahitaji ku-unlock
Je, unataka kufungua yako Huawei E303 kutoka mtandao lcok? Kama ni hivyo, matumizi ya kufungua code kwa kufungua hiyo. Unaweza kupata kutoka yoyote ya wachuuzi online kama TheUnlockSpot.com ya kufungua yake.
Umeshaflash custom recovery...?wakuu naombeni msaada
nina simu yangu ninataka kuupdate kwenda v4.4.4android nmedownload custom rom yake cwm recovery na root file lke lkni tatizo lipo nikitaka kuupdate from sd card card inaniambia failed to mount sd card so naombeni mnisaidie
Sim yang ni samsung galaxy y gt s5360
@ChiefMkwawa