Asante. Ngoja tusubiri wanaoangalia
haya Susy....watakujibu wanaoangalia....!!!
my dia hujambo
CPU mjukuu wangu Michele ni MY DEAR wako?
Afu hiyo signecha hebu nitafsirie kwa lugha ya Nyerere tafazali........
Star TV, Capital, Channel Ten, ITV wote hawa wanarusha tamthilia kila wakati na kwa muda tofauti, and then wadogo zangu wa kike (age btn 18 to 24) watataka afuatilie kila tamthilia, na kila tamthilia ina run for several hours on air?!!!!
Kwa kweli nawasikitikia sana wadogo zangu wa kike (age btn 18 - 24) wanaoangalia hizi pumba, muda wao wote wanazungumzia hizi takataka hata wakishamaliza kuangalia. Hata dada zangu karibu wote walio ktk ndoa hawapendi kuangalia hizi blah blah coz wanasema haziwasaidii chochote ktk maisha wanayoishi sasa hapa Tanzania. Wanasema bora waingie JF watajifunza mengi
CPU (kitengo kikuu cha usindikaji) kuna mwanangu anaitwa Kevin ana miaka 12, alikuwa haambiwi kitu kwenye haya madudu ya tamthilia, bahati nzuri tv tuliyokuwa tumeazima ikachikuliwa na mwenyewe, nikashukuru Mungu.
my dia hujambo
CPU mjukuu wangu Michele ni MY DEAR wako?
Afu hiyo signecha hebu nitafsirie kwa lugha ya Nyerere tafazali........
sijambo my dear...ukimuona babu usiniite hivyo...l.o.l
Sawa my dia, basi nitakuwa nakuita MY SWEET BEIBI . . .lol
mbona kama unaongeza makali? punguza,niite michelle....l.o.l
cpu mfuate dada michelle chumbani hapa sebleni bana lol!!