Aliyepo Newala kwa sasa.

Ndo wamekuchagulia advance?
Kasome tu..
 
Habarini wakuu,
Naomba mtu aliyepo Newala mjini kwa sasa na ambaye ana uzoefu na mazingira yale aniPM nimkonsalti juu
Ya suala fulani.

Ni vizuri sana awe ni mwenye skima na masuala ya elimu,
Au awe mwanafunzi wa pande zile.

Una shida gani?
 
Mimi niko huku Nkotokwiana kijijini. Ni wilaya ya Newala, lakini yanayoendelea huko Newala mjini siyajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…