Aliwahi kunena haya:

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
2,642
Reaction score
10,025
Death is the solution to all problems. No man - no problem- Joseph Stalin
One death is a tragedy; one million is a statistic-Joseph Stalin


The only real power comes out of a long rifle-Joseph Stalin

It is enough that the people know there was an election. The people who cast the votes decide nothing. The people who count the votes decide everything- Joseph Stalin
Huyu kiongozi wa Urusi ya Kisovieti (1929 - 1953 ) aliamini zaidi kwenye mabavu na nguvu katika utawala wake.
Stalin aliweza kuitoa Urusi kutoka kwenye jamii ya kikulima mpaka kuwa nchi yenye maendeleo kiviwanda!!!!
Muda utaongea!!!
 
Alikua ana akili za kipopoma sana
Ubabe wake ndio ulichangia afe.alikataza kuamshwa akilala ukimuamsha utauliwa
Siku moja kaingia kulala usiku mpaka kesho yake jioni hakutoka room watu wanaogopa kwenda kuangalia why haamki coz wangeuliwa. Walipojikaza kwenda wakakuta yuko chini kajikojolea anakoroma tu.kumpeleka hosp akafa

Mke wake aliitwa NADIA alijiua kisa yeye.siku ya mazishi jamaa akamuangalia marehemu then akasema
"Huyu mwanamke ndiye pekee aliyeweza kuulainisha moyo wangu wa jiwe"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…