hatimae yul bwana aliekuja na mikwara mingi sana kutoka marekani na kuanzisha timu
ya kajumulo na kuishia kushindwa kuifadhili mwisho kusahalika kabisa bw ALEX KAJUMULO
amerudi tena wakati huu amekimbilia songea na kuomba udhamini juu ya majimaji
bw kajumulo amesema lengo lake lilikuwa kuianzisha timu ya bongoland fc lakini kwa kusikia
kilio cha wana songea ameona ni heri aifadhili majimaji FC...
Kajumulo amesema anataka kuwapeleka marekani wakafanye mechi kwa ajili ya mazoezi na
zaidi kuchangia watoto yatima wa SONGEA....
JAMANI HUU SI UTAPELI MWINGINE MUWACHE KUCHEZESHA TIMU TANZANIA MKACHEZE MAREKANI KWA AJILI YA YATIMA
HAYA WANA LIZOMBE KAZI KWENU
Bw kajumulo amesema uongozi wa majimaji uwe tayari kuandika docomente kama anavyoisema kabla ya jumatano
Kwanini asirudi kwenye timu yake ya Moro utd au aende kwa KGR aitoe K.Sugar kwa waarabu kiwandani? Hii kazi haiwezi, mwanzoni alidhani angekuwa kama kina Abramovich na akasahau kuwa football in Tz does not so much sell!