Alex kajaumulo kuidhamni maji maji-aapa kuwapeleka marekani kwa mazoezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alex kajaumulo kuidhamni maji maji-aapa kuwapeleka marekani kwa mazoezi

Discussion in 'Sports' started by sijafulia, May 15, 2010.

 1. s

  sijafulia Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hatimae yul bwana aliekuja na mikwara mingi sana kutoka marekani na kuanzisha timu
  ya kajumulo na kuishia kushindwa kuifadhili mwisho kusahalika kabisa bw ALEX KAJUMULO
  amerudi tena wakati huu amekimbilia songea na kuomba udhamini juu ya majimaji
  bw kajumulo amesema lengo lake lilikuwa kuianzisha timu ya bongoland fc lakini kwa kusikia
  kilio cha wana songea ameona ni heri aifadhili majimaji FC...
  Kajumulo amesema anataka kuwapeleka marekani wakafanye mechi kwa ajili ya mazoezi na
  zaidi kuchangia watoto yatima wa SONGEA....

  JAMANI HUU SI UTAPELI MWINGINE MUWACHE KUCHEZESHA TIMU TANZANIA MKACHEZE MAREKANI KWA AJILI YA YATIMA

  HAYA WANA LIZOMBE KAZI KWENU


  Bw kajumulo amesema uongozi wa majimaji uwe tayari kuandika docomente kama anavyoisema kabla ya jumatano
   
 2. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  tatizo lake papara nyingi bila malengo.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Kwanini asirudi kwenye timu yake ya Moro utd au aende kwa KGR aitoe K.Sugar kwa waarabu kiwandani? Hii kazi haiwezi, mwanzoni alidhani angekuwa kama kina Abramovich na akasahau kuwa football in Tz does not so much sell!
   
Loading...