TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
kaaplog,twitwer,kumfoll,garl,unilushe,nikulushe,sorlkuna dem mmoja niliona kaaplog picha yake twitwer ukweli alibamba hisia zangu nikamua kumfoll kisha nikamuandiki sms Tots. Hey mambo vp
Garl. Poa mzma wewe
Tots. Ebana mie mzma
Garl. Naomba unilushie vocha ya sh 500
Tots. Dah! samahani sina hela apa
kesho yake
Tots. Hey naomba unitumie contact zako
Galr. Sina sim natumia raptop ulikua unataka za nini?
Tots. Nilikua nataka nikulushe vocha
Garl. Ooh! Sorl nilikua nakutania tu
Tots. Ok hata mie nilikua nakutania tu.
kaaplog,twitwer,kumfoll,garl,unilushe,nikulushe,sorl
aaaaa kweli twitter.
Na mie naomba nikufoll
mengine haya hapa......''apa,sim, raptop, nikamuandiki, mzma.... "'
kuna dem mmoja niliona kaaplog picha yake twitwer ukweli alibamba hisia zangu nikamua kumfoll kisha nikamuandiki sms Tots. Hey mambo vp
Garl. Poa mzma wewe
Tots. Ebana mie mzma
Garl. Naomba unilushie vocha ya sh 500
Tots. Dah! samahani sina hela apa
kesho yake
Tots. Hey naomba unitumie contact zako
Galr. Sina sim natumia raptop ulikua unataka za nini?
Tots. Nilikua nataka nikulushe vocha
Garl. Ooh! Sorl nilikua nakutania tu
Tots. Ok hata mie nilikua nakutania tu.
jamani eeh! Hili kama fundisho kwenu vjana yasije kuwakuta majanga na usidhani dem kaomba sh 500 ukadhani mjinga la hasha alikua anapima ulefu wa mto kabla hajaingia kuogelea hivo kuweni makini.